Syria: World reacts to Trump's decision to pull US troops out

UNGELISEMA WAZUNGU WANGELITAFUTA SAYARI YAO INGELIKUA VYEMA COZ WAO NDIO WANAOTOKA NCHI ZAO NA KUVAMIA NCHI ZA WATU, KUTENGENEZA VIKUNDI NA KUWAPA SILAHA NA MATIBABU
Siku peace ikipaticana mashariki ya kati nadhani dunia itasimama. Brotherhood Egypt wametulizwa, Alcaeda sijui walipotelea wapi, ISIS nao wanapotea tunasubiri us apige kipenga. Syria na iran wako busy huko syria, Hesbullah na Hamas wameenda kusaidia, kule kukitulia wana rudi kuanza na israel. Kurdish wote wa iraq na Turk sasa wanasoma game la syria, sijui baada ya syria kutanuka wapi. Waarabu wangetafuta sayari yao pekeyao labda kungekuwa na peace.
 
Wazungu wanafanya biashara, wanatuuzia silaha, madawa na kilakitu tukiwa busy tunauana. Sasa waarabu watalijua lini hili kwamba wanauana for no good reason. Ndio maana nikasema labda wahamie sayari za mbali wataishi kwa amani. Wazungu wameshafika Mars, hata wakihama silaha watatuletea tu.
 
So point yko ni ipi ikiwa wazungu watuletea silaha ???

game linalofatia ni isreal vs hizbullah

uturuki vs kurdish

russia yeye naona kaongeza nguvu crimea
 
game linalofatia ni isreal vs hizbullah

uturuki vs kurdish

russia yeye naona kaongeza nguvu crimea
Hiyo Crimea ni mgogoro wa baadaye kwa sasa hata G7 wameunyamazia kwanza. Lakini najua iko siku patafumuka tu. Uturuki na kurdis hao wakongwe hawapiganagi, wankwaruzana kasha wanaacha. Hizbullah na Israel pia kunawalakini maana kila wakitaka kuanza kinatokea kitu kingine wanaacha, mi nataka wazichape mpaka mmoja amueshimu mwenzie. Hamas wamechoka kupigwa wanatfuta support kwa waarabu wa jirani hawapati, sasa wameamua kushiriki vita za wenzao ili siku nao wakikinukisha waje wasidiwe.
 
kuna uwezekano wa iran kutwangana na israel ndani ya syria mda sio mrefu

crimea wanaweza kuzichapa ata leo coz Aljazeera wanadai urusi amepeleka silaha nzito pande hizo
 
Hahaha israel na Iran hao hawawezi kuzichapa utasubiri sana. Iran anaogopa vikwazo zaidi kutoka US, hivyo atapiga kelele tu.
Warusi silaha walipeleka siku nyiingi sana pale walidhani wangepigwa na US, lakini US waoga siku hizi, wanaogopa kupigana vita peke yao na washirika wao hawataki kupigana tena.
 
juzi urusi kaongeza silaha pande hizo

israel na iran hujui jinsi wanavyotwanganaga?

apo ni iran atawaongezea nguvu hizbullah
 
Urusi anaogopa kupigwa na us na washirika wake, lakini wakiamua wanamtwanga tu.
Hizbullah sasa hawezi, mshirika wake naye bado yuko syria. Ila syria kukipoa hapo najua hamas na hizbullah wataamka tena.
 
mkuu urusi anaiogopa nato?

mbona kama game la syria lilikuwa ni nato vs russia

nato ukimtoa us na ujerumani hawazi kusimama na urusi ata kwa miezi mitatu

kitendo cha iran kijichimbia syria unadhan israel atamuangalia tu?

au ww unahisi lengo la iran kuweka base syria ni nn mkuu
 
Iran anatafuta kuungwa mkono na syria huko baadaye, ikiwa watashinda huko. Ili naye baadaye yakimkuta asibaki peke yake.
US pale Syria hakuona maslahi yoyote ndio maana walimuacha mrusi akatamba vile humo Syria. US hana cha kugain pale, kungekuwa na interest yoyote kwa US urusi ungewasikia wako Moscow muda mrefu sana. We jiulize US na washirika wake wanapata fauda gani pale, zaidi ya kutanua kifua tu.
 
kwanza kwann walienda aliakuwa hawana faida?

si walikuwa wanaplan ya kupitisha bomba la gesi pale ili urusi akose mteja wa gas ulaye ili ayumbe kiuchumi

maana kijeshi now yupo full nondo
 
Gas wapitishe Syria?! US walikuwa wanaonyesha ubabe tu, maana hao ISIS hata hawana nguvu tena.
Nakwambia kama US na washirika wake wangekuwa na maslahi pale urusi asingeweza hata kuingia syria.
 
kumbe usa now ni kama tz ambaye yupo kongo ili kupata sifa

usa alitaka bomba la ges lipite pale that akataka kuweka kibaraka wake
 
Gas wapitishe Syria?! US walikuwa wanaonyesha ubabe tu, maana hao ISIS hata hawana nguvu tena.
Nakwambia kama US na washirika wake wangekuwa na maslahi pale urusi asingeweza hata kuingia syria.
Wewe umetokea Sayari ipi?
 
game linalofatia ni isreal vs hizbullah

uturuki vs kurdish

russia yeye naona kaongeza nguvu crimea
Kweli mkuu ila wa Kurdish wa Syria wakitaka wamkomoe uturuki wajisalimishe kwa ASSAD TU wakabidhi border post zao za majimbo ya kaskazini kwa Assad ili jeshi la Syria ,HEZBOLLAH and others Shia militia's wasimamie wao hapo uturuki ata fyata mkia na wa Kurdish watakua salama kabisa dhidi ya any possible Turkish incursion.
 
Back
Top Bottom