Ehud
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 2,685
- 338
Maandamano yanayoendelea huko ME yamezidi kuchua roho za watu safari hii ni huko Syria ambako maandamano yameshika kazi na watu sita wameuwawa katika msikiti wa Omari uliko kwenye mji wa Deraa.
Bashar al-Asad haoni kinachompata mwenzake Gadafi?
BBC News - Syria unrest: 'Protesters killed' at Omari mosque
Bashar al-Asad haoni kinachompata mwenzake Gadafi?
BBC News - Syria unrest: 'Protesters killed' at Omari mosque