Syria: Israel ikijaribu kuingiza tena ndege zake ndani ya ardhi yetu tutatoa jibu ambalo litaiacha Israel mdomo wazi

Israel hatojaribu tena kuingiza mguu hapo kashaona sio pazuri.
Kibao kimegeuka tokea ile 2006 war Israel walivyochapwa na Hezbollah's Heshima iko sasa tena kubwa mnoo
Balancing of power iko pazuri now hakuna uonevu Wa kijinga kama zamani...
 
we jamani ni mwongo ina maana mwaka 2006 hukuona israel jinsi walivyochakazwa na hezborah kweli ile vita iliyodumu siku 33 tu
Kwa hiyo wakaikomboa Golan au wewe ni ushabik maandazi tu ndio inakusumbua.
 
Nchi za kiarabu ambazo hata manati na jambia tu zinaagiza toka nje.! You people are joking na siasa ya vijiweni.
 
Syria ni mtoto mdogo sana kwa Israel muache aendelee kujitekenya mwenyewe na kucheka
 
Kumbe kwa syria ndege iliyoangushwa ni ya kisasa kabisa.....!
Hiyo f 16 ni ya kisasa kweli mtoa uzi rudi ufafanue kwanza juu ya f 16 type ipi kwani yawezekana hiyo ni ile f-16 ya mwaka 1974. Hiyo si ndege ya kisasa km ulivyosema.

Israel wanazo ndege za kisasa sn pia wanazo km hizo f- 16 za size ya Syria ma km Syria wanataka kutamba kwa hilo tuyashusha hata B-1,B-2, F-16 VIPER au F-22, japo hizo si size ya Syria.

HII SYRIA YA MAGOVU NDO INATAMBA?
 
Back
Top Bottom