..nadhani mleta hoja amefanya kazi kubwa...lakini ieleweke hadhira aliyokuwa akiongea nayo BABA askofu ni kikao cha maaskofu[kikao cha ndani]...it was not a public adress...
..kama tutaanza kufuatiliana na kuchukua mazungumo ya ndani ya viongozi wa dini au siasa na kuyaleta hapa basi muda si mrefu tutaaribu amani hivihivi...
....chukulia mfano umepata fursa kushiriki kikao cha ndani....na ukachukua mameno yaliyokuwa yanaendelea kwenye mjadala kabla ya maafikiano na kuyaleta nje ..ni lazima yatasababisha usumbufu kwa jamii...
wameficha tangu zamani uchafu wao..lakini sasa wameanza kuonyesha chuki zao kwa jamii ya kiislam waziwazi...after all maaskofu amani hawajali ikiharibika kwasababu hawana familia na wanamakazi yao vatican..there very irresponsible human being....damn..nadhani mleta hoja amefanya kazi kubwa...lakini ieleweke hadhira aliyokuwa akiongea nayo BABA askofu ni kikao cha maaskofu[kikao cha ndani]...it was not a public adress...
..kama tutaanza kufuatiliana na kuchukua mazungumo ya ndani ya viongozi wa dini au siasa na kuyaleta hapa basi muda si mrefu tutaaribu amani hivihivi...
....chukulia mfano umepata fursa kushiriki kikao cha ndani....na ukachukua mameno yaliyokuwa yanaendelea kwenye mjadala kabla ya maafikiano na kuyaleta nje ..ni lazima yatasababisha usumbufu kwa jamii...
Hawa wakatoliki ndiyo huwa ni mwanzo wa vurugu duniani nuksi kwelikweli..unajua hao maaskofu kwakuwa hawana "watoto na wanawake" wakishaharibu wanaenda vatican kujificha....wapuuzi wakubwa ni kuwaogopa kama ukoma...we have good examples Rwanda ni wao wame promote tribal war..halafu wakaenda vatican kichaka cha maovu" wajinga tu hao...soon they will be exposed and they will fail.
..nadhani mleta hoja amefanya kazi kubwa...lakini ieleweke hadhira aliyokuwa akiongea nayo BABA askofu ni kikao cha maaskofu[kikao cha ndani]...it was not a public adress...
..kama tutaanza kufuatiliana na kuchukua mazungumo ya ndani ya viongozi wa dini au siasa na kuyaleta hapa basi muda si mrefu tutaaribu amani hivihivi...
....chukulia mfano umepata fursa kushiriki kikao cha ndani....na ukachukua mameno yaliyokuwa yanaendelea kwenye mjadala kabla ya maafikiano na kuyaleta nje ..ni lazima yatasababisha usumbufu kwa jamii...
Sijaona sehemu nimetukana kwenye thread yangu...labda unionyesha...nimesema "Maaskofu ni wachochezi siku zote na mifano ipo na sababu kubwa ni kwamba hawana familia.(wake na watoto) so wakiharibu wanakwneda kwenye heaven yao huko vatican....that is facts ..kama unataka tukupe na zingine tutakupa..kwa ufupi jamaa ni waharibifu...wameshindwa kutangaza dini kwa amani wanaanza kutafuta namna ya kugawa jamii kwa minajili ya kidini..shame on the them.>you cant be serious.....tukianza kuchambua nani anastahili matusi yako...tutakesha hapa na wala tusifikie muafaka....
hizu dini tumeletewa na wazungu na waarabu...lakini asili na dini yetu waafrika ni moja ..dini ya mizimu!!!...sioni kwa nini tutoane ngeu au kutukanana....
Mkuu FM,
Hapana, hii ni African Synod na baada ya kufanyika habari huwa tayari kwenye "public domain" hadi katika intenet.
Kwahio sidhani kama itakuwa ni siri sana.
Ukisoma katika link ifuatayo utapata ni ni kimezungumzwa leo nna maaskofu hawa kutoka Afrika.
http://www.indcatholicnews.com/news.php?viewStory=14995
Baba Askofu ana maana gani katika maneno hayo ambayo nimehighlight kwa kijani?
Is he saying Islam is a threat in Tanzania? I would like him to substantiate this claim as it might sow seeds (or fertilize them) of mistrusts between Muslims and Christians in Tanzania.
Nimeogopa kidogo kutokana na hiyo kauli maana inasema mengi sana..............................!
hayo ni madai mazito sana kutolewa na kiongozi wa dini. Lakini ni madai mazito kwa sababu yamejumuisha Uislamu na kuchafua amani. Ningependa ayatolee utetezi au ayafute kwani msingi wake ni ujinga. Huwezi kujumuisha Uislamu au makundi ya Waislamu wote na kuwakweka katika kundi moja la kutishia amani na kutaka kufuta Ukristu.
Mkuu FM,
Nimekuelewa kabisa "in principal" kwamba hii habari haikupaswa kuwa nje ya RC community na kusambaa kwa wider odience JF ikiwemo.
Mkuu Philemon,
Mimi ndiye mleta hoja. Nimeileta baada ya kusoma taarifa mbalimbali za kila kinachoendelea tangu Synod ya waafrika hiyo ianze.
Inabidi nitofautiane na hoja yako kwamba kikao hiki ni taarifa za ndani. Kwa mtizamo wako ni kwamba ni kama vile habari ime-leak.
.
Baba Askofu ana maana gani katika maneno hayo ambayo nimehighlight kwa kijani?
Is he saying Islam is a threat in Tanzania? I would like him to substantiate this claim as it might sow seeds (or fertilize them) of mistrusts between Muslims and Christians in Tanzania.
Nimeogopa kidogo kutokana na hiyo kauli maana inasema mengi sana..............................!
Wakaeneze ukatoliki africa siyo? hakuna la maana wanataka ku-christinize africa...through startegic influence/
wanasaidia nini common man in the street wale waleeeeeeeeee
Wakaeneze ukatoliki africa siyo? hakuna la maana wanataka ku-christinize africa...through startegic influence/
wanasaidia nini common man in the street wale waleeeeeeeeee