Symbion Power: Intelligence watupu

Hii ndio maana halisi ya usalama wa taifa..Director wa TISS na especially Mkuu wa kitengo cha economic espionage haya ndio mambo wangehitajika kuyafanya......kuwekeza hisa kwenye makampuni yote ambayo kimkakati yanaadhri usalama wa taifa ie secta ya nishati ....ndicho wafanyachoo CIA.
Ukiacha miradi nichache ambayo Mwalimu aliwafungulia TISS...kama motel Afrique,Seventy seven etc ,...na baadhi ya hotel au nyumba zilizo nje ya nchi kwa ajili ya TISS....tunahitaji kuwa na miradi mikubwa na ya kimkakati ...miaka ya karibuni Seventy seven walitaka kugawia Impala hotel ...Mzee mkapa Baada ya kushauriana na wakongwe wa TISS akabatilisha.."...JK amekuja Anampa rafik yake ....au mwanahisa mwenzake .....hatujui Kama Idara itabaki na hisa hapo au ndio wameporwa hotel Yao ..
 

Tulitakiwa tuwe na hisa Symbion, Hyatt Kilimanjaro Hotel, pamoja na kampuni kama tatu hivi kule mbugani. Hatukufanya hivyo na itatugharim sana.
 
Mbona iko wazi, NGO zote za wamarekani wanatupeleza tu, wanatujua kuliko tunavyojifahanu sisi......kwa wanaofanya nao kazi utakuta wazungu wanaifahamu tanzania zaidi ya watanzania wenyewe, na husikii kaondoka lini kwendw huko mikoani, ila utakuta ana vielelezo kibao..................TISS tunahangaika na CDM, mali za nchi zinaibiwa
 
Safi sana. Ili mradi watuletee umeme kwa bei nzuri hata wangekua intelijensia wa kutoka nchi gani waje tu, intelijensia yetu (kama ipo) basi na itakumbana nao ktk mambo mengine.

Mkuu intelijensia yetu iko kwa mambo ya kugandamiza vyama vya upinzani kisiasa kwa ccm tu sio kung'amua mambo makubwa na ya msingi kama haya.Usitegemee lolote!
 

sasa naamini kuwa yaliyotokea MTWARA si bure
 
Last edited by a moderator:
Nchi na vyote vijazavyo ni mali ya Bwana.Ila Tz km tumelaaniwa vile hakuna tunachoweza.
 
Kazi ya CCM hiyo kwani hawajui nini wanakifanya na hasa ktk swala zima la usalama wa taifa cha msingi kuna 10% wako tayari kuuza utu
 

Leo hii mnashangilia ujio wa Obama kama mazuzu! Wamarekani siku zote wako wazi Hawana adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu, la muhimu kwao ni maslahi yao. Leo tunawakaribisha na kuwahakikishia maslahi makubwa ya kiuchumi, kesho watalazimisha maslahi ya ushoga na kadhalika, mtapinga? Wana uwezo wa kuiba kibabe sembuse hivi tunavyojiuza wenyewe kama madada poa wa mjini! Disgusting!
 
BondJamesBond nipe iyo link download

yani nawachukia wazungu hapana aiseee
 
Last edited by a moderator:
Kuna na wale wanaogawa vyandarua wanaitwa PS...hebu nikae kimya mie,sitaki "kushikiliwa kwa mahojiano".
 
BondJamesBond nipe iyo link download

yani nawachukia wazungu hapana aiseee

kaka Aza,ni bora hao wazungu you can easily trace them kutokana na kuwa na distinguishing features,kuliko C.I.A ambao ni watz wenzio wenye ngozi nyeusi kama yako unaoweza kuwapa nyadhifa muhimu serikalini.hao ndio unapaswa kuwaogopa kama ukoma!
 
Last edited by a moderator:
wote tu ni tatizo,kweli mkoloni mweusi ndo mbaya zaidi juve2012
ila wazungu sijawai waamini haisrani na ss wanavogongana vikumbo tz
 
Last edited by a moderator:
Hivi kama mtu wa kawaida tu anaweza kuchimba na kupata hizi details hawa watu wetu wa UWT kazi yao ni nini sasa? ------- kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…