CCNA pia tunasoma kwa njia ya mtandao
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kama umataka kusoma networking then nakushauri usome CCNA.
Hv mtu ukigraduate computer sciennce,engineering or IT kuna umuhimu wa kusoma CCNA ili kujiwekea mazngra mazur kwenye ajira?
Papizo za siku?Mkuu wangu yaani hiyo CCNA ukiiangalia kwa makini utagundua katika degree yako vitu ambavyo vipo CCNA umesoma nadhani 20% only,so kwa ujumla ukipiga degree yako ya IT kwenye hayo masomo then ukafanya CCNA wewe utakuwa sio mwenzao tena na utakuwa na advantage maana hiyo CCNA vitu utakavyosoma huo ndio utakavyo fanya kuliko degree uliyofanya ni vitu ambavyo ni general, so ni ushauri tu kwa upande wangu ninavyoona....
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Mkuu ahsante kwa infomation japo sijajua wapi ntapata more information, cost na wapi ntaanzia.Vizuri kama umeamua kurudi shule,nakushauri uje UCC apa utapata kile unachokitaka,vile vile uwa tunafanya mitihani ya online
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mkuu wangu yaani hiyo CCNA ukiiangalia kwa makini utagundua katika degree yako vitu ambavyo vipo CCNA umesoma nadhani 20% only,so kwa ujumla ukipiga degree yako ya IT kwenye hayo masomo then ukafanya CCNA wewe utakuwa sio mwenzao tena na utakuwa na advantage maana hiyo CCNA vitu utakavyosoma huo ndio utakavyo fanya kuliko degree uliyofanya ni vitu ambavyo ni general, so ni ushauri tu kwa upande wangu ninavyoona....
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
umenifungua mawazo mkuu wacha namimi nifanye mpango wa kuisoma hyo CCNA
Ahsante kiongozi
ni kitu gan hicho??