Swissport Tanzania job

Swissport Tanzania job

Hello

I am a foreign student and I have a job offer in Swissport Tanzania. Is there one people who can advice me and answer several questions please ?

Thanks 🙂 !
wewe ni foreigner au ngumbaru?ebu acha fix kijana
 
WTF ! Are you a foreign student?
You are not serious buddy, unless there is something wrong with you .
You have got Poor English gramar usage
 
Jamani iyo inglish ya salasala ndo mnatwambia ya foreign student?
Makinikia we si unajua kidhungu si lugha yetu? Afu unaeza kiongea fresh lkn kukiandika kikakuzingua au ukawa fundi mzuri wa kukiandika lakini kukiongea kikakupiga mweleka...
 
Hello

I am a foreign student and I have a job offer in Swissport Tanzania. Is there one people who can advice me and answer several questions please ?

Thanks 🙂 !
Wew ni foreign unayetumia lugha gani? Maana hta hicho kiingereza chako htr
 
Makinikia we si unajua kidhungu si lugha yetu? Afu unaeza kiongea fresh lkn kukiandika kikakuzingua au ukawa fundi mzuri wa kukiandika lakini kukiongea kikakupiga mweleka...
Yeah ni sahihi kabisa TRUE TANZANIAN lakini huyu jamaa katuwekea mbu. Huku vyuma viko tyt afu anakuja kapata kazi shirika kubwa, tena nayeye ni foreigner vilevile lakini iyo lugha alotiririka hapo ndo imefanya watu wastuke
 
Acha uwongo ww ni mtz acha kuwatapeli watu.mimi nafanya kazi swissport njoo geti no 6 kesho pale cargo.wabongo tusipende miteremko aisee naona hapo anataka atengeneze kautapeli fulani kisa kajua watanzania wengi hasa vijana hawana ajira.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom