language karibia zote ni simple kama umeanza kusoma syntax, tatizo hua ni application ya all the tools available kufanya kitu flani, hapo ndo hua ugumu wa programming ulipo...It can take one~three hours kusoma syntax yote ya language mpya, but it takes a lifetime learning how to use the language to solve certain tasks....