Sweetlady awachanganya @Klorokwini ,@Nitonye na Vin Disiel

We unajifariji loya....pole sana
Mafiga matano ruksa sasa mchukue mwingine

Mpenzi mmoja mmoja imepitwa na wakati. Sku hizi ukiwa na kawaifu kamoja au kahazbendi kamoja hata maaskofu na mashekhe wanakushangaa.

hebu nitaftie Kipipi akuje apa, nimenunulia kihandkechifu kina picha ya slaa
 
Last edited by a moderator:
Hahaa kuaibika ni lazma...kwanza mtoto kachanganyikiwa hamjui baba yake
Erickb52 kwanza mie choka na huo mlolongo wa watu juu ya sweetlady, mashine ya shost wangu nahisi ni VVT-I si mchezo katika huduma, na wala haina haja ya dna wala nini? sweetlady mwaya kitanda hakizai haramu, watajiju!
 
Vin Diesel ndie baba halali wa kadogoo, usijal cacico bado kidogo ntamtambulisha rasmi shemeji yako huyu.....nampenda sana......Mie good sana mpendwa......afu leo sijakuona kanisani ndo kusema hujahudhuria au?
sweetlady siwezi kosa my dear, sema mpasuo niliokuwa nimevaa na nyonyo nje ndio soo, katekista alinirudishia nje, si unajua cku hizi kanisa katoliki lipo siriaz mbaya na hivi vivazi?? ila kwenye ubatizo usijal fundi issa wa ilala anakamilisha dera langu! mpe hi kadogoo! na shemeji yangu Vin Diesel tutajuana kanisani nadhani.
 
Erickb52 kwanza mie choka na huo mlolongo wa watu juu ya sweetlady, mashine ya shost wangu nahisi ni VVT-I si mchezo katika huduma, na wala haina haja ya dna wala nini? sweetlady mwaya kitanda hakizai haramu, watajiju!
Watajiju na kujibeba cacico lol.....tena haswa Erickb52
 
Atsutwa huyu we muache
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom