IRAQW MINING
Member
- Apr 18, 2011
- 86
- 6
Umemtafuta kwanza Swt L kabla ya kuwakilisha hapa???... Isije ikawa kumbe ndo umeharibu kabisaa....
nenda kamPM atakujulisha jinsi ya kumsahau
nimem-pm zaid ya mara 60 hajibu ss nifanyenn?
nimePM mara 60 jombi! Hamna majibu.
jamani si lazima wote tuwe waandishi,wengine tunaweza kuwa wasomaji tu.
hapo ndo mwisho wa kufikiri kwake,atakuwaje msomaji tu wakati na yeye anataka aanzishe thread!
Ajabu!
Ajabu!
Ajabu!
Usije penda jini,mtu hujawahi hata kuonana nae, wengine ni wanaume lkn humu wameweka majina ya kike wanakuchora tu!