Sweep: App ya kufuta mafaili usiyoyahitaji katika simu yako

robbyl

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Posts
496
Reaction score
510
Nimetengeneza app inaitwa Sweep.
Inapatikana play store. Kupakua ingia playstore na uandike Sweep.

App inakuwezesha kufuta mafaili yasiyo na kazi yanayojaza tu nafasi ya simu yako.

Pia inakuwezesha kufuta mafaili yaliyojirudia sehemu zaidi ya moja na kujaza tu nafasi ya simu.

Unaweza pia kuona mafaili yapi ni makubwa kuliko mengine ili kama huyahitaji uweze kuyafuta.

Pia inaweza kuongeza muda simu inakaa na chaji

Inafanya simu yako iwe haraka kama inafanya kazi pole pole na mengine mengiView attachment 1545444View attachment 1545447View attachment 1545445View attachment 1545446View attachment 1545448
Screenshot_20200823-075941.jpg

Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
 
Je inafuta apps kama xender na nyingine ambazo nadhani sizihitaji katika simu yangu?
 
App imeboreshwa

Sasa unaweza kufuta faili moja (Duplicate files) lililopo sehemu zaidi ya moja katika simu yako ili kuongeza nafasi.

Ingia Play store na utafute "Sweep" kuipata
Screenshot_20200901-073756.jpg
Screenshot_20200901-073806.jpg

Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
 
Hongera sana mkuu kwa ubunifu..sooner or later nitakuunga mkono kwa install App yako!
 
Nimetengeneza app inaitwa Sweep.
Inapatikana play store. Kupakua ingia playstore na uandike Sweep.

App inakuwezesha kufuta mafaili yasiyo na kazi yanayojaza tu nafasi ya simu yako.

Pia inakuwezesha kufuta mafaili yaliyojirudia sehemu zaidi ya moja na kujaza tu nafasi ya simu.

Unaweza pia kuona mafaili yapi ni makubwa kuliko mengine ili kama huyahitaji uweze kuyafuta.

Pia inaweza kuongeza muda simu inakaa na chaji

Inafanya simu yako iwe haraka kama inafanya kazi pole pole na mengine mengiView attachment 1545444View attachment 1545447View attachment 1545445View attachment 1545446View attachment 1545448View attachment 1545449

Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
Hiyo App yenyewe ni faili nisilolihitaji tosha, Sasa sijui na yenyewe itajifuta!!!???
😟😟😟
 
Nimetengeneza app inaitwa Sweep.
Inapatikana play store. Kupakua ingia playstore na uandike Sweep.

App inakuwezesha kufuta mafaili yasiyo na kazi yanayojaza tu nafasi ya simu yako.

Pia inakuwezesha kufuta mafaili yaliyojirudia sehemu zaidi ya moja na kujaza tu nafasi ya simu.

Unaweza pia kuona mafaili yapi ni makubwa kuliko mengine ili kama huyahitaji uweze kuyafuta.

Pia inaweza kuongeza muda simu inakaa na chaji

Inafanya simu yako iwe haraka kama inafanya kazi pole pole na mengine mengiView attachment 1545444View attachment 1545447View attachment 1545445View attachment 1545446View attachment 1545448View attachment 1545449

Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
Big up mkuu. Huwa napenda kufanya vity manual, ila naomba nikusupport ktk ili. Nimedownload app yako.
 
"Pia inaweza kuongeza muda simu inakaa na chaji" sijaelewa
 
Back
Top Bottom