Swali

Swali

Diraqw

Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
12
Reaction score
1
Jamani nina swali. Hivi mwanamke kupenda kukaa na mme wake mda mwingi ni kuonyesha upendo au ni wivu wa mapenzi...wengine hawataki kuona unatoa mguu nyumbani ananuna kama nini .... akiona number kike kwenye sm shida...
 
Samahani kama hutajali.......nakuuliza.......umeshabalehe ile komavu.......au ndio umeanza...........?
 
Back
Top Bottom