Senk binamu kwa kufuata ushauri. I feel very honoured!
ni kweli nakuwa nimezima, imagine unadumisha mila mara simu ya mdeni wako inaingia? au katoto kako boarding mwalimu anasema hela ya twisheni imeisha?
kwa kweli mimi nisamehewe tu ila simu ya my hasbendi nashika muda wowote naotaka, lakini pia habari ya amezima au hajazima sijawahi kuifikiria wala hainisumbui. Hata hivyo sipendi simu au message za usiku ziwe zangu au zake coz zinadisturb usingizi na mengineyo. so ningependelea simu zote zizimwe usiku.why not going thru your stuff!!!! ?? are you not as one kwani......na wawili watakuwa mwili mmoja. unaficha nini kama huna vimeo humo ndani ya simu yako.......
wewe kaka wewe leo umemeza nini? au betry za evaready shika paka pawa?
sisi wazima bana! tehe teheeee!katika vitu ambavyo cvifikiriagi ndio hilo, hata ashinde home wiki mbili bila kutoka bado cjafikiria huko, kwani wazima nyie unaweza hata kuipitishia dirishani ukamaliza mambo.....
dada huyu bwan shem akiwa mbali na wife ndo huiwasha but akija tu likizo kwa mkewe anazima kila ifikapo usiku. Lakini kabla hajapata kazi ya mkoani hakuwaga anazima simu au kwa vile ndoa ilikuwa bado changa??? sijui
kwa kweli mimi nisamehewe tu ila simu ya my hasbendi nashika muda wowote naotaka, lakini pia habari ya amezima au hajazima sijawahi kuifikiria wala hainisumbui. Hata hivyo sipendi simu au message za usiku ziwe zangu au zake coz zinadisturb usingizi na mengineyo. so ningependelea simu zote zizimwe usiku.
kwa kweli mimi nisamehewe tu ila simu ya my hasbendi nashika muda wowote naotaka, lakini pia habari ya amezima au hajazima sijawahi kuifikiria wala hainisumbui. Hata hivyo sipendi simu au message za usiku ziwe zangu au zake coz zinadisturb usingizi na mengineyo. so ningependelea simu zote zizimwe usiku.
pale unapozima au kuficha simu yako ndio unaletea maswali mengi sana kwa mwenzi wako ..Y Y haziishi
cku hizi mie cjui ndio nazeeka, wala cmjali na licmu lake, azime awashe alalie chini ya mto atajijua mwenyewe, mwambie mdogo wetu aachane na cmu ya huyo huyo shem, akili zake azihamishie kwa hao twins wetu...mweh
haaaaaa hapo ujue unamuumiza mwenzio, anaona kumbe hata hakurushi roho.....
Mimi mme wangu akifanya hivi nitamuuliza tu why anazima simu usiku,u never know labda hataki usumbufu wa simu usiku baada ya kufanya sana kazi .
Amuulize kwanza then atapata majibu why anafanya hivyo,then amwambie kuwa yeye hapendi mme awe anazima simu usiku.
mi nampendaga huyo binamu xpin kwa kuongea ukweli lol.
kubaliane na huo ukweli maana kubadilika ni maajaliwalakini ukweli ndio huo carmel, wanayafanya sana hawa watu...sasa tufanyaje?
Umuumize kwani anajua kama unajua?
why not going thru your stuff!!!! ?? are you not as one kwani......na wawili watakuwa mwili mmoja. unaficha nini kama huna vimeo humo ndani ya simu yako.......
yeahUna bahati sana hujaolewa na mimi!
lakini ukweli ndio huo carmel, wanayafanya sana hawa watu...sasa tufanyaje?
yeah it is a big of a deal if he started going through my stuff... because there are things I would rather keep for myself... and there are stuff doesnt concern him..... sifichi kitu lakini kuna vitu naongoa na my family or friends and I woldnt want him put his nose into...
BTW whatever happens to trust and privacy? if he doesnt trust me then it is his problem he gotta deal with it... not me.
haaaaaa hapo ujue unamuumiza mwenzio, anaona kumbe hata hakurushi roho.....