ndo tiba yenyewe hiyo.....kucheka ni afya mama...............
unaumwa nini mkuu?🙂hahahaahahahaha masaki wajua mwenzio naumwa leo? Sitakiwi kucheka sana ... eti crdb azikiwe mi ctaki aku
Hata sijielewi kichwa si kichwa malaria si malaria ili mradi mvurugano. Mwili unaniisha nguvu nashindwa kupumua yaani hata sijielewi Dr nisaidie!!unaumwa nini mkuu?🙂
ngoja nimpigie kaizer😀Hata sijielewi kichwa si kichwa malaria si malaria ili mradi mvurugano. Mwili unaniisha nguvu nashindwa kupumua yaani hata sijielewi Dr nisaidie!!
Hata sijielewi kichwa si kichwa malaria si malaria ili mradi mvurugano. Mwili unaniisha nguvu nashindwa kupumua yaani hata sijielewi Dr nisaidie!!
Sasa nyamayao shemeji kajibuje? Maana lol sipati picha ati
Masikini anajutia lol hadi anatia huruma ila noo simhurumii unless unambie ile story ya kumwambia my sisy wangu amemkuta used ni uongo aku!!amemwemwanbia sio mambo ya kirahic inabidi watafute na wazee kwanza hawawezi kwenda wao wenyewe, ndio jamaa huko anatafuta wazee akiwezekana waanze wazee then wazee na wao waongozane awamu ya pili.....halafu linaongea huku linalia....
Anipunge na madogoli au? Maana nijuavyo huyu si Dr wa ugonjwa wangu mie au?ngoja nimpigie kaizer😀
Ndo mnavoniudhi kwa kujidanganya. Nani alikudanganya mwanaume anakuwa lonely?
Hapo kwenye red..... thubutuuuu! Jamaa akisema SU! Dadako anarudi kwa spidi kali.
Hapo kwenye blue, si mnaona mavyojipa moyo na mnavyojidanganya? Jasiri haachi asili. Bibie atarudi na kidume kitaendelea kudumisha mila. Nikisemaga hivi nyamayao huwa hanipendi, anasema mi mnoko. Lakini huo ndio ukweli wenyewe. Wanaume ndivyo tulivyo. Mbona hamtuelewagi?
Mshukuruni Mungu mmenipata mimi mwanaume jasiri nayetoboa siri zetu. LOL!
kweli burudani, masaki umefikiria nini? yaani nimecheka mpaka watu wananishangaa, tutafika tu.Utashangaa simu inapigwa saa 2 usiku halafu jina linalotokea, CRDB Azikiwe. Unajiuliza kama benki huwa iko wazi mpaka muda huo!
NI dokta huyo!huwa anafanya training ya udaktari pale chawote.kuna dokta huwa tunakunywa nae huwa anampa training baada ya bia kadhaa🙂Anipunge na madogoli au? Maana nijuavyo huyu si Dr wa ugonjwa wangu mie au?
Nyamayao naona rafiki zako wengi wanamisukosuko ya mapenzi naona machaguo yao hayakuwa sahihi aidha waliingia kichwa kichwa ndo maana wanakumbwa na dhoruba kali kila kukisha. kukurupuka kuoa au kuolewa baada ya miaka au miezi michache kuna madhara yake ndo haya sasa.
ni kweli mamii, ukumbuke huko nyie wawili kila mtu ana mapungufu yake....misukosuko ya mapenzi ipo kwa kila binadamu aliyopo kwenye mapenzi, na c frnds zangu hii kitu inatokea kwa yoyote yule, leo wao kesho nyamayao kesho kutwa mwnne, kwenye mapenzi hata uingie kwa kuchagua vipi misukosuko haikosekani kwa namna moja au nyingine.
Masikini anajutia lol hadi anatia huruma ila noo simhurumii unless unambie ile story ya kumwambia my sisy wangu amemkuta used ni uongo aku!!
Nikukumbuka anaye Blandina huruma yote yanitoka mie!!
Nyamayao hata usisumbuke.Tatizo la Xpin hajui kupenda.mnakuwaga lonely ucndanganye hapo, hata mkitoboa toboa kwa mabaamed bado unamic chako cha rohoni......
kweli burudani, masaki umefikiria nini? yaani nimecheka mpaka watu wananishangaa, tutafika tu.
Ah jamani mnanichanganyia dose sasa maana mie namzungumzia Sisy wa jana alopewa adhabu kali na huyu wa kipigo hadi mimba ikatokaMJ1 hapo bado nipo kwenye ile ishu ya zamani mami wangu, khaa pole kwa kuumwa!
Anipunge na madogoli au? Maana nijuavyo huyu si Dr wa ugonjwa wangu mie au?
Taratibu homeboy! Babu yake nipo. Ntamganga kwa tiba asilia.dah tatizo kwa hali kama hii sijui nio Dr gani utamuamini....🙄
Ah jamani mnanichanganyia dose sasa maana mie namzungumzia Sisy wa jana alopewa adhabu kali na huyu wa kipigo hadi mimba ikatoka
Nahisi malaria inapanda kichwani. Aksante mamii naona inataka nisije Nai