Swali

Swali

mangi jo

New Member
Joined
Aug 17, 2019
Posts
3
Reaction score
0
Wana jf naombo kuuliza hivi inawezekana kumbadilisha Malaya kuwa mke I mean mama wa watoto wako?
 
Yes inawezekana, ila anaweza kubadilika kutokana na wito wa kimungu ndani yake na si kwa sababu wewe unataka kumwoa.
 
inatakiwa utambue kwanza kipi kimepelekea yeye kuingia huko.

then ndio utajua kama itakuwa rahisi kumtoa huko ama laah.

anaweza kubadilika kabisa.wengi tu unakuta wanaolewa na wanatulia. kwa sababu unaweza kuoa hata anayejiuza bila kujua kwani mtu akiwa anajiuza anajitangaza? so mpaka leo wapo wanao ingizwa kingi.
 
Wana jf naombo kuuliza hivi inawezekana kumbadilisha Malaya kuwa mke I mean mama wa watoto wako?
Ndiyo wengine shida ndo chanzo lakini wapo vizuri nina uhakika kabisa kuna ndoa zipo safi tu na mke alikuwa hivyo
 
Kazi rahisi sana ikiwa utamshirikisha Mungu kimaombi na kama alikuwa mpango sahihi kwa mapenzi yake Mungu aje kuwa Mkeo halali katika maisha.
 
Wana jf naombo kuuliza hivi inawezekana kumbadilisha Malaya kuwa mke I mean mama wa watoto wako?
Huwezi kumbadili mwanamke malaya kama yeye mwenyewe hajaamua kubadilika, mtu hubadilika kulingana na mazingira au yeye mwenyewe aamue kubadilika...over!
 
Back
Top Bottom