Swali

Swali

SUA Nao wanajivuta vuta! Maana by elimination naona dogo ataenda SUA! Vyuo vingine alivyojaza na akapata first round vimetoa majina tayari. SUA alijaza agriculture general na aquaculture. Kilichobaki ni kujua ni ipi kati ya hizo mbili atapata.
 
Back
Top Bottom