Utamsikia wapi wakati alijichomeka kwenye tumbo la dudumizi fisadi lenye kuwafisadi.. Utamsikia vipi wakati alikubali kunaswa kwenye mtego wa kujiunga na kampeni za matusi na kuviringisha mikono. Akatibua reputation yake kwa kuukana uanachama wa CUF ili awe mgombea mwenza. Siasa za Zanzibar ni za msimamo wa wastani ambapo Kiongozi unatakiwa kupima upepo kabla ya kukurupuka na mahitaji ya muda mfupi. Kabla ya hapo akina Tundu lisu walikuwa wanawazodoa viongozi hawa na kujiunga kwa Duni kwenye chadema ilikuwa ni matusi kwa wahafidhina wa mjini magharibi na Pemba. Kwa ufupi mzee huyu ndio basi tena kapotea kwenye ramani za siasa za Zanzibar.Heshima Kwenu,
Kwa muda mrefu sasa simsikii kwenye medani za siasa aliyekuwa mgombea mwenza wa UKAWA kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.Huyu ni Juma Duni Haji ambaye ana cheo cha makamu mwenyekiti kwenye Chama cha Wananchi CUF.Toka aliporejea kutoka UKAWA alikokuwa kwa matakwa ya makubaliano ya ushirikiamo, hajasikika tena. Yuko wapi Babu Duni?
Waulize UKAWA wenzake tukisema hao matapeli mnabisha na matusi juu
Duni yupo amekuwa mwanachama wa kawaida tu.Heshima Kwenu,
Kwa muda mrefu sasa simsikii kwenye medani za siasa aliyekuwa mgombea mwenza wa UKAWA kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.Huyu ni Juma Duni Haji ambaye ana cheo cha makamu mwenyekiti kwenye Chama cha Wananchi CUF.Toka aliporejea kutoka UKAWA alikokuwa kwa matakwa ya makubaliano ya ushirikiamo, hajasikika tena. Yuko wapi Babu Duni?
Umeona eeeeeWaulize UKAWA wenzake tukisema hao matapeli mnabisha na matusi juu
Huitaji uliza kujua kuwa kilichomkuta, ni kifo cha mende kisiasa....."chali mbendembende"...Heshima Kwenu,
Kwa muda mrefu sasa simsikii kwenye medani za siasa aliyekuwa mgombea mwenza wa UKAWA kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.Huyu ni Juma Duni Haji ambaye ana cheo cha makamu mwenyekiti kwenye Chama cha Wananchi CUF.Toka aliporejea kutoka UKAWA alikokuwa kwa matakwa ya makubaliano ya ushirikiamo, hajasikika tena. Yuko wapi Babu Duni?
Duh...isiwe wamkaribisha "matimila" kwa lengo la kumla mdondo na kumnyonya macho...Nipo Keko, karibu
Bwege...hata vipengele muhimu vya uchaguzi wa ndani ya chama, wakati nyeti wa uchaguzi alishindwa vifanyia rejea...Duni yupo amekuwa mwanachama wa kawaida tu.
Alijaribu kugombea u makamu mwenyekiti Cuf,akaenguliwa katiba ilimbana.Katiba yao inataka ukae miaka miwili ndio ugombee,wakati Duni ana miezi sita tu CUF!