Swali: Ukipewa kazi ya kubuni chombo au kifaa chochote bila kuiga popote utabuni nini?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,974
27,209
Nimewaza sana bila kupata jibu, yaani hapa nchini kwetu Tanzania ni bidhaa gani ambayo tunaitengeneza au ilibuniwa hapa hapa bila kuiga popote au kukopi na tukaitengeneza wenyewe na kwenda kuiuza nchi za nje na kuiletea nchi kipato.

Je, kama ukipewa mtihani huo ubuni na kutengeneza kifaa au chombo chochote bila kuiga ambacho kiliwahi kutoka, je utabuni nini?
 
Nimewaza sana bila kupata jibu yaani hapa nchini kwetu tanzania ni bidhaa gani ambayo tunaitengeneza au ilibuniwa hapa hapa bila kuiga popote au kukopi na tukaitengeneza wenyewe na kwenda kuiuza nchi za nje na kuiletea nchi kipato!!!je kama ukipewa mtihani huo ubuni na kutengeneza kifaa au chombo chochote bila kuiga ambacho kiliwahi kutoka je utabuni nini!!
Wewe ukipewa nafas utabuni nini?
then tutataja na sie wengne
 
chips mayai si nasikia imegunduliwa tz,mi nina mpango wa kutengeneza software ambayo mtu akiangalia kipindi cha mapishi asiishie kuona tu kile chakula bali aone na kupata harufu ya kile chakula
 
Mi nitabuni kifaa cha kuthibitisha kama kweli dunia inazunguka, Maana haiwezekani dunia ikimbie kilometa 30 kwa sekunde, halafu hata kapero zibaki kichwani wakati tupo juu ya dunia na siyo ndani. ukilinganisha na fuso ambayo kwa sekunde moja inaweza kuwa imemove mita tatu au nne ila kapero zinaruka vibaya

haiwezekani dunia ikimbie km 30 kwa sekunde halafu ndege inayoruka kama km 600 tu kwa saa nzima iruke na kuufikia mji ulioko kwenye ardhi inayokimbia sekunde 20 kwa umbali uleule
 
Mi nilikuwa bingwa wa kutengeneza mifagio kwenye sanaa..ntatengeneza fagio moja kubwa sana unene wa simtanki kwa ajili ya kufagilia magodawni na viwanja vya mpira.
Kwani mkuu kabla ya fagio kulikuwa hakujawahi kuwa na fagio??
 
Back
Top Bottom