abunerimgaya
Member
- Nov 13, 2012
- 78
- 15
Ndugu zanguni
samahani lakini
nataka kujua
mungu ni
she au he?
samahani lakini
nataka kujua
mungu ni
she au he?
Ndugu zanguni
samahani lakini
nataka kujua
mungu ni
she au he?
Mh! Au sijakuelewa?Ndugu zanguni
samahani lakini
nataka kujua
mungu ni
she au he?
katika maandiko ya uumbaji yanasema kwamba mwanadam aliumbwa kwa mfano wake (MUNGU) na baada ya mda au baada ya tym flani kupita akamtaftia mwanaumme msaidiz wake nae ndio mwanamke Hawa. kwa picha hii maana yake ni kwamba m2 huyo alieumbwa kwa mfano wake ni mwanamme na baadae akataftiwa mwanammke kuwa msaidiz wakeNdugu zanguni
samahani lakini
nataka kujua
mungu ni
she au he?
Mungu ni HE kwa mujibu wa biblia. Inasema kuwa mungu ni baba haijaandikwa mungu ni mama, mungu ni bwana wa mabwana, mume wa wajane, ni mfalme haijaandikwa mungu ni malkia. Kumbuka kuwa neno MUNGU siyo jina lake bali ni sifa yake(MUUMBAJI). Jina lake hasa ni JEHOVA na akiwa duniani aliitwa EMANUELI.(MUNGU PAMOJA NA WANADAMU) Hakuna SHE anayeitwa baba, bwana, emanuel au mfalme. Lakini pia mungu ni roho so anaweza kuwa chochote akitaka ktk utendaji wk wa kazi. Ila ndg yng angalia sana mungu hachunguzwi.
ukisoma vitabu vya dini vinasema mungu alimuumba adam mtu wa kwanza kwa mfano wake,Adam alikua ni HE,na kwa kua alikua ni mfano wa yeye aliye juu,basi tunaamin ya kua na mungu ni ni HE!! haya ni mawazo tu!!!Ndugu zanguni
samahani lakini
nataka kujua
mungu ni
she au he?