Ndugu,fuatilia mtiririko,mgao uliishia kwa mtu wa 12 kupewa chumba namba 11.Lakini kumbuka chumba namba moja aliacha watu wawili,akamchukua mtu mmoja tu kati ya wale wawili na kumfanya mtu wa 13 na akaenda kumpa chumba namba 12.na mtu wa 13 chumba namba.............?
hapo umepata jibu sema tu mtoa swali hajataka kukubali.na mtu wa 13 chumba namba.............?
Unasema kuna mtu mmoja kabaki,unatakiwa uelezee kabaki wapi na kwa jinsi gani amebaki ili tumpe chumba chake,suala si plus and minus pekee,tegua mtego ulipo!Mkuu ukweli ni kwamba kuna mtu mmoja anabaki, maana umeanza mtu wa 1 na mtu wa 2, hapo ni watu wawili lakini pia mtiririko wako umeanzia mtu wa 3 hadi wa 12, ukifanya kama darasa la kwanza tulilosoma sisi la kutumia vihesabio mtu wa tatu hadi wa 12 hao ni watu 10, ukijumlisha na wawili wa mwanzo unapata 12, hivyo anabaki mmoja kutoka kwenye jumla yao ya watu 13, hivyo mtu wa 13 hajapata chumba bado, mwambie mhudumu ajipange amulaze hata mapokezi.
Watu 13 vyumba 12 . mtu wa 1 na wa 2 # 1. wa 3 #2, wa 4 #3, wa 5 # 4, wa 6 # 5, wa 7 # 6, wa 8 # 7, wa 9 #8, wa 10 # 9, wa 11 #10 na wa 12 # 11.Baada ya hapo alirudi chumba # 1 aliko waacha mtu wa 1 na wa 2,akamchukua mmoja akampeleka chumba #12.
Hata mimi najua haiwezekani,lakini fuatilia mtiririko utuambie mtu wa 13 tumemsahau wapi na kwa jinsi gani,hilo ndo swali bandugu zangu.By the way under 'ceteris peribus' haiwezekani kugawa vyumba 12 kwa watu 13 halafu kila mtu akapata chumba chake....
Unless, the 13th person alikua haitaji chumba!
yeah, mtririko naukubali mpaka mwisho.. Lakini muhudumu aliporudi chumba no. 1, alimchukua m2 kwanza au wa pili akampeleka chumba no. 12! Still muhudumu hakumgusa mtu wa 13 so hakuweza kumpa chumba mtu wa 13, alikuwa anacheza tu na wale wa2 12 na vyumba 12 tu!Watu 13 walifika kwenye guest house yenye vyumba 12 tu na kila mmoja alitaka chumba chake peke yake.Mhudumu alimpatia kila mmoja chumba.Alimchukua mtu wa 1 na wa 2 akawaweka chumba # 1.mtu wa 3 chumba #2,mtu wa 4 chumba #3,mtu wa 5 chumba # 4,mtu wa 6 chumba # 5,mtu wa 7 chumba # 6,mtu wa 8 chumba # 7,mtu wa 9 chumba #8,mtu wa 10 chumba # 9,mtu wa 11 chumba #10 na mtu wa 12 chumba # 11.Baada ya hapo alirudi chumba # 1 aliko waacha mtu wa 1 na wa 2,akamchukua mmoja akampeleka chumba #12.Elezea,mhudumu aliwezaje kumpa kila mmoja chumba chake peke yake?
Naona mzee tu hutaki kunipa maksi pamoja na kuelezea kote huko bado tu hujaridhika, wewe ungekuwa mhadhiri hamna mtu angekuwa anapata A au B+ kwenye somo lako.Unasema kuna mtu mmoja kabaki,unatakiwa uelezee kabaki wapi na kwa jinsi gani amebaki ili tumpe chumba chake,suala si plus and minus pekee,tegua mtego ulipo!