Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,599
- 1,420
"Mwanamke ni kama bamia, kadri anavyozidi kukua ndivyo thamani yake inazidi kushuka!"
Ke akiwa na pesa hawezi kosa mme, tena huko majuu ndiko balaa mambo ya haki sawa. Ndoa ikivunjika "marioo" anapata mgao wa fedha tamu toka kipato cha ke.kwanini asiolewe?..kwamba America menopause au?...jlo na miaka 50 kaolewa ...sembuse huyu 32?...mkuu acha maswali ya kitoto
Mwanamke wa miaka 32 je kama yupo single hana mtoto akitaka kuolewa ataolewa kweli ??
Kwa maana wanaume wanataka vipya ??
Hii inakuwaje???
Ke akiwa na pesa hawezi kosa mme, tena huko majuu ndiko balaa mambo ya haki sawa. Ndoa ikivunjika "marioo" anapata mgao wa fedha tamu toka kipato cha ke.
Rejea talaka ya Madona na kiserengeti chake, madona nusura ajinyonge, shukuru marioo wake akaamua kulegeza kamba
Mwanamke wa miaka 32 je kama yupo single hana mtoto akitaka kuolewa ataolewa kweli ??
Kwa maana wanaume wanataka vipya ??
Hii inakuwaje???
Unaolewa vizuri tu kwa umri wako bado kijana.
Lakini tegemea kupata mwanaume aliyekuzidi umri.
Naimani umepitia mengi sana na una mengi unayawaza lakini sasa hivi akija mwanaume wa umri chini yako akawa haeleweki(sharobaro)basi USIKUBALI KAMWE KUOLEWA NAE.
Kwa sababu yeye atakuwa anaona bado anakula ujana wakati wewe unataka kutulia kwa kupumzikia ile mishale iliyokukosa,hapo ndo mahusiano siku mbili yanaisha wakati lengo ni Ndoa.
Jiandae kupata mwanaume ambaye ana umri kama wako na aloyekuzidi,sana dana aliyekuzidi hapo utatulizwa.
Na pia ishu sio kuolewa,ishu ni kudumu kwenye ndoa.
Mwanamke mwenye ndoa moja kwa miaka 10 ni bora kuliko mwanamke mwenye ndoa 5 kwa miaka 10 hiyo hiyo.
Hivyo umakini unahitajika sana.
Unapata wapi ujasiri wa kufananisha maisha ya bongo na ya unyamwezini ?kwanini asiolewe?..kwamba America menopause au?...jlo na miaka 50 kaolewa ...sembuse huyu 32?...mkuu acha maswali ya kitoto
Katoto kazuri nilikuwa nakuwaza sana, ila kama umefika 32 basi nimeghairi, nakupotezea.Mwanamke wa miaka 32 je kama yupo single hana mtoto akitaka kuolewa ataolewa kweli ??
Kwa maana wanaume wanataka vipya ??
Hii inakuwaje???
Katoto kazuri nilikuwa nakuwaza sana, ila kama umefika 32 basi nimeghairi, nakupotezea.
Mwambie huyo.Unaposema "chanini" wengine hujiuliza "tutakipata lini"
Kuwa realistic mkuuUnaposema "chanini" wengine hujiuliza "tutakipata lini"
Si kila usichopenda wewe pia ni lazima wengine wasipende HAPANAKuwa realistic mkuu