katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Kweli eh this niceMbona huyo bado binti,anaolewa vizuri kabisa ila na mtu aliemzidi sana aliechelewa kuoa au widower
Nini ??Ataolewa kwann asiolewe tena kwa shela, hakunaga vipya wanavyotaka wanaume bali kuna vingine wanavyotaka
Kabisa.Kumbeee ??
Umefika 30 tayari??Kweli eh this nice
Ataolewa vizuri kabisa ilimradi awena kipato kidogo tuu maana mudawake ushapita hivyo kipato kinaweza kumuweka kwenye chati kimtindo, siunajuwa tena wazee wa kukimbia mama wa nyumbani tupo na shida zetuMwanamke wa miaka 32 je kama yupo single hana mtoto akitaka kuolewa ataolewa kweli ??
Kwa maana wanaume wanataka vipya ??
Hii inakuwaje???
Mwanamke wa miaka 32 je kama yupo single hana mtoto akitaka kuolewa ataolewa kweli ??
Kwa maana wanaume wanataka vipya ??
Hii inakuwaje???
"Mwanamke ni kama bamia, kadri anavyozidi kukua ndivyo thamani yake inazidi kushuka!"