ESPRESSO COFFEE JF-Expert Member Joined Sep 6, 2014 Posts 6,146 Reaction score 7,683 Mar 29, 2015 #1 Kuna nyimbo ya hawa wasanii wa nigeria ya patoranking kamshirikisha tiwa savage kwenye hio nyimbo kuna sehemu wanaimba mistari ya nyimbo fulani hivi ya R&B ya zamani sana ya kizungu sasa naomba kujua hio nyimbo walio chukua hio mistari inaitwaje?
Kuna nyimbo ya hawa wasanii wa nigeria ya patoranking kamshirikisha tiwa savage kwenye hio nyimbo kuna sehemu wanaimba mistari ya nyimbo fulani hivi ya R&B ya zamani sana ya kizungu sasa naomba kujua hio nyimbo walio chukua hio mistari inaitwaje?
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,081 Reaction score 72,481 Mar 29, 2015 #2 Dinazarde na warumi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
ESPRESSO COFFEE JF-Expert Member Joined Sep 6, 2014 Posts 6,146 Reaction score 7,683 Mar 29, 2015 Thread starter #3 Mmh wimbo unaitwaje