Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Hivi uki prove mke wako katembea nje na mwanaume ambae ni rafiki yako.
Nae akakiri kwamba kweli kafanya na akaomba msamaha na kusema ata acha na kuapa.
Je ni kweli anaweza kuacha kabisa???
Nae akakiri kwamba kweli kafanya na akaomba msamaha na kusema ata acha na kuapa.
Je ni kweli anaweza kuacha kabisa???