JembeNaNyundo
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 533
- 652
Kuna logic gani ya kuweka ulezi, mahindi na mchele wakati vyote ni wanga? Au mnataka ladha?
we hata bashite anakuzidi,hujui kuwa soya ina protin na mahindi yana starch,?hapo kila kitu na umuhimu wake
mkuu usipende kukosoa sana kuliko kujifunza. very simple juc google ingredients za kila aina ya type of food iliyoko humo then ukosoe.
hebu rudia kusoma concern yake: amesema kuna logic gani kuweka mchele, ulezi na mahindi ...we hata bashite anakuzidi,hujui kuwa soya ina protin na mahindi yana starch,?hapo kila kitu na umuhimu wake