Swali-: Malaya ni nani?

aljun raj

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
203
Reaction score
46
Ni mwanamke au mwanaume?
Je kila mtu anaweza kumwita mwanaume/mwanamke malaya?
Hata kama hujawah kukutana nae kimwli. Kwaupande wangu huwa naona vgumu kumwita mwanamke malaya wakati sijawai ,,,,nae...
Nin kipimo cha kumwita malaya? Wanawake wengi wanapenda sna pesa tena kwa wazi je hawa nitmalaya?
Kuna tofauti gan kati ya haya majina
Malaya
Kahaba
Changudoa
Hebu tujadili jaman)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…