Inategemea na uelekeo husika wa hayo majiMkondo huenda Wapi?
swali fikirishi...nilikuwa na maana yangu kuandika hivyoWe jamaa hata kama huna jibu...hukosi cha kuandika
fafanua mkuuSwali fikirishi hili...ila wanasema maji hufuata mkondo
Sawa kabisa mkuu, vyanzo kama maziwa, chemchem milimani, kuingia mitoni mpaka baharini, toka baharani kwenda juu mawinguni, kuleta mvua, and the cycle continues, ila prof maji marefu na mzee wa loliondo wana maelezo ya kueleweka zaidi kutokana na jamii tuliyonayo!mbona Rahisu sana maji ya bahari yenyewe hutokana na na vyanzo vingi kama mvua na mito ila maji ya bahari huondoka kipindi cha jua kali kwa mtindo wa mvuke na kwenda kuunda mawingu ambayo husukumwa na upepo na kwenda nchi kavu napo hunyesha tena kama mvua na kuingia kwenye vyanzo
Mbona limeshatolewa ufafanuzi mkuu..soma post za huko juufafanua mkuu
Elimu yetu hii jamani! Ukute mwalimu hakumaliza syllabusKwan darasa la nne A.. hukusoma kupwa na kujaa kwa maji bahari ambayo inasababishwa kani ya msukumo kati ya dunia na mwezi... au mwenzetu ulisoma ualimu pasipo elimu (UPE)
Hii ni geography kidato cha kwanza. Kupwa na kujaa kwa maji baharini ni kutokana na nguvu ya mvutano kati ya dunia na mwezi.