Swali;maandamano ya waislamu yameishia wapi?

Swali;maandamano ya waislamu yameishia wapi?

Kimagege

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
283
Reaction score
88
Jana palisambazwa vipeperushi vingi vikiwahimiza waislamu katika mikoa kadhaa kujitokeza kuandamana leo ili kushinikiza sheikh ponda apewe dhamana.viongozi wa serikali waliyapiga marufuku na kuyalaani vikali huku uongozi wa jumuiya za kiislamu ukisisitiza kuwa yapo palepale sasa sijui yalifanyika au ilikuwaje.kwa faida ya wanajamvi na taifa kwa ujumla mwenye taarifa atujuze tafadhali.
 
walikusanjika karibuni ,misikiti yote hapa Dar,ila akuna aliyekuwa wa kwanza kuanza andamana.matokea yake wamesema kesho baada ya sala ya saa saba mchana,cjajua kama kesho watavaa,helmet na mask au vipi.so tusubirie kesho wangapi watalala Segerea kesho
 
Acha kuwachokoza waislam. Naona wanaogopa JWTZ. Hawa jamaa hawawezi kuishi bila ugomvi, zifuatazo ni baadhi ya nchi zenye ugomvi wa waislam. Mombasa(Mrc), Mali, Nigeria(boko haram), Tanzania(uamsho+jumuiya ya waislam), Ufilipino etc. Sasa wanasema tz wanapinga mfumo kristo, sasa sijui na huko kwingineko mfumo kristo kama umeenea pia
 
makafiri mmejaa jf,hamliziki mpaka mtuseme vibaya waislam,haya endeleeni.
 
makafiri mmejaa jf,hamliziki mpaka mtuseme vibaya waislam,haya endeleeni.

Waislam bila kuua wakristo na kuchoma makanisa amuendi peponi(mungu wenu hafurahii), haya endeleeni
 
Ndugu zetu hawa wanaonewa kila mahali. Ht huko Pakistan wanapoishi peke yao wanaonewa hadi Wanalipuana misikitini. Cjui huwa wanaonewa na nani
 
Udugu wa kiislamu (MuslimsBrotherhood) wa kufanana na ule wa nchini Misri umeinyemelea CCM kwa ari mpya,kasi mpya na nguvu mpya. Baadhi ya wapiga kura wa kikristo huku wakijua aukutokujua mtandao huu mpya ndani ya CCM (ambao ni wa siri) nao wamejikutawakiingizwa kimya kimya kuunga mkono udugu huu hapa Tanzania.

Angalia jinsijumuiya hizi za CCM Kitaifa zilivyojipanga ili kuwaweka waislamu ktk nafasi zajuu: Tafakari…
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="width: 44, bgcolor: transparent"]
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]
Jumuiya ya CCM
[/TD]
[TD="width: 236, bgcolor: transparent"]
Jina
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]
Dini
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 44, bgcolor: transparent"] 1.
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"] UWT Taifa – M/kiti
[/TD]
[TD="width: 236, bgcolor: transparent"] Sophia Simba

[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"] Muislamu
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 44, bgcolor: transparent"] 2.
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"] UVCCM Taifa – M/kiti

[/TD]
[TD="width: 236, bgcolor: transparent"] Khamis Sadifa Juma
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"] Muislamu
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 44, bgcolor: transparent"] 3.
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"] Wazazi – M/kiti
[/TD]
[TD="width: 236, bgcolor: transparent"] Abdallah Majura
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"] Muislamu
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Udugu wa kiislamu (MuslimsBrotherhood) wa kufanana na ule wa nchini Misri umeinyemelea CCM kwa ari mpya,kasi mpya na nguvu mpya. Baadhi ya wapiga kura wa kikristo huku wakijua aukutokujua mtandao huu mpya ndani ya CCM (ambao ni wa siri) nao wamejikutawakiingizwa kimya kimya kuunga mkono udugu huu hapa Tanzania.

Angalia jinsijumuiya hizi za CCM Kitaifa zilivyojipanga ili kuwaweka waislamu ktk nafasi zajuu: Tafakari…
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]
Jumuiya ya CCM
[/TD]
[TD="width: 236, bgcolor: transparent"]
Jina
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]
Dini
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 44, bgcolor: transparent"]1. [/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]UWT Taifa – M/kiti [/TD]
[TD="width: 236, bgcolor: transparent"] Sophia Simba
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]Muislamu [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 44, bgcolor: transparent"]2. [/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]UVCCM Taifa – M/kiti
[/TD]
[TD="width: 236, bgcolor: transparent"]Khamis Sadifa Juma[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]Muislamu [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 44, bgcolor: transparent"]3. [/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]Wazazi – M/kiti[/TD]
[TD="width: 236, bgcolor: transparent"]Abdallah Majura[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]Muislamu [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
zamani(i mean kabla d.haifu hajawa rais wa nec)watz hawakuwa waliwaza hivi!!!!dah
 
Udugu wa kiislamu (MuslimsBrotherhood) wa kufanana na ule wa nchini Misri umeinyemelea CCM kwa ari mpya,kasi mpya na nguvu mpya. Baadhi ya wapiga kura wa kikristo huku wakijua aukutokujua mtandao huu mpya ndani ya CCM (ambao ni wa siri) nao wamejikutawakiingizwa kimya kimya kuunga mkono udugu huu hapa Tanzania.

Angalia jinsijumuiya hizi za CCM Kitaifa zilivyojipanga ili kuwaweka waislamu ktk nafasi zajuu: Tafakari…
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]
Jumuiya ya CCM
[/TD]
[TD="width: 236, bgcolor: transparent"]
Jina
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]
Dini
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 44, bgcolor: transparent"]1.
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]UWT Taifa – M/kiti
[/TD]
[TD="width: 236, bgcolor: transparent"]Sophia Simba

[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]Muislamu
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 44, bgcolor: transparent"]2.
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]UVCCM Taifa – M/kiti

[/TD]
[TD="width: 236, bgcolor: transparent"]Khamis Sadifa Juma
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]Muislamu
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 44, bgcolor: transparent"]3.
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]Wazazi – M/kiti
[/TD]
[TD="width: 236, bgcolor: transparent"]Abdallah Majura
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]Muislamu
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mwenyekiti JK- MSILAMU
 
Mh!
Nikifanya hesabu za logic kwenye kauli yako naishia kwenye conclusion Uislamu=Shetani.
Ndicho ulicho maanisha?

No,spendi kuwaukumu hivyo. Ninachomaanisha ni kwamba mawahidha yao sehemu kubwa utawaliwa na kuwatukana wakristo wakati wakristo muda mwingi ni kukemea Shetani. Siku hizi mwezi haupiti bila kusikia kanisa limelipuliwa maeneo mbali mbali duniani, hasa Africa. Sas hao wanapingana na shetani au wakristo?
 
Leta wait 4 tumoro nimmeonyeshwa mnsikiti karia koo wanaoanzia kesho wale wafanyabiashaea wanalaani kweli kweli biashara zao zinaharibika janga hili jhamani
 
Leo wadau nilikuwa hapa Trafic police Tanga kulipa faini for o/drive mkuu wa trafic kawapigia cm trafic wake kuwaulizia basi zinazoelekea Da nyingi zilibeba watu wa aina gani inavyoonekana kuna waislamu wengi wamekuja huko Da kwa maandamano
 
hayo ndio matokeo ya ubaguzi sasa hvi ni udini nje nje lakini ndipo tulipotakiwa kufika alianzisha aliyeanzisha kwa kuligawa kundi mmoja na kuona jingine ni bora kuliko ndio amewachia watanzania shida kumbwa sana ambapo kama halitoangaliwa tunaelekea kubiya viongozi hakikisha kila mmoja anapewa haki la sivyo tunatwanga maji kwenye kinu Tukio nililolishudia mbeya ndipo nilijua tunaelekea pabaya kuna ndugu wakiislamu walikuwa wakimpa mawaidha muumini mwezao ambaye anaishi karibu na kanisa bahati nzuri au mbaya wale waislamu walikuwa wamechanganyika watanzania na wapakistani wakristo wlikuwa wanaishi karibu na pale waliripoti kuwakanisa linataka kchomwa askari walifika haraka na kuwachukua wale waaumini wa kiislamu tena kwa vitisho dini ya kiislam inafundisha kuwa marafiki wa waislamu ni wakiristo wamchao Mwenyezimungu na muislamu hawezi kuchoma kanisa la rafiki yake na kipindi cha Mtume Muhammad (SAW) Kuna kundi la waislamu walipata hifadhi kwa mkiristo mfalme NAJASH wa Habesh leo Ethiopia kwanini TZ Tusiishi kwa amani angaliene hamna kundi la kupuuziwa je ni wakristo marafiki wanoita askari wakiona kanzu karibu na msikiti turudishe upendo na uraiki kati ya waislamu na wakristo tuachane na aliyetugwa yuko wapi ? MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Back
Top Bottom