Swali Maalum kwa watu MAALUM

Swali Maalum kwa watu MAALUM

swali lakijinga kwa wajinga wanaoamini VIFAA VYA JESHI VITALINDA MUUNGANO, tuliunganisha jeshi hama jamaii hizi mbili? Pili nani kakwambia majeshi yanalinda Amani ya Nchi, kazi ya jeshi ni usalama wa nchi, wapi iraq, wapi misri, wapi syria, wapi palestina na , wapi israel. south sudan congo , burundi, rwanda , nigeria ndo jeshi kubwa kushinda majeshi yote africa, bokoharam wanafanya wanavyotaka, AMANI INARINDWA NA WANAJAMII WENYEWE NA SI JESHI
 
Silaha zile tulizooneshwa ktk
sherehe za Muungano, zitaweza
kutatua kero za Muungano?

Haziwezi,ila zitasaidia kidogo kuuweka duniani MUUNGANO maana zimetishia wadanganyika kwa muda.
 
Back
Top Bottom