Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,715
- 167,726
Silaha zile tulizooneshwa ktk
sherehe za Muungano, zitaweza
kutatua kero za Muungano?
sherehe za Muungano, zitaweza
kutatua kero za Muungano?
Zingeonyeshwa siku ya Mashujaa au kusherehekea vita ya Nduli Amini ningewaelewa.Hata mm wazo hilo lilikuwa kichwani kwangu!kulikuwa hakuna sababu ya kuonyesha silaha zote zile!
Baba riz,anamkwala wa kizamani kweli!, maonyesho yale siange subiri sabax2? cja msoma kbisa!
Zingeonyeshwa siku ya Mashujaa au kusherehekea vita ya Nduli Amini ningewaelewa.
Silaha zile tulizooneshwa ktk
sherehe za Muungano, zitaweza
kutatua kero za Muungano?
Silaha zile tulizooneshwa ktk
sherehe za Muungano, zitaweza
kutatua kero za Muungano?
Silaha zile tulizooneshwa ktk
sherehe za Muungano, zitaweza
kutatua kero za Muungano?
Nadhan zitaweza mkuu, maana hata yale ma mtu wanayaita makomandoo ni noma