Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,901
- 287,999
Dah ! Vijana haya maswali yenu yatatuvunja migongo jamani !
cha muhimu ni kuzionesha. Haijalishi siku. Ninyi ndo aina ya watu ambao hula pilau siku ya Idd na Christmas tu
Mi nahisi tulikua tunafanya matangazo ya biashara ya silaha zilizotengenezwa na warus na watu wengine duniani.kwa kuwa Ss hatujatengeneza silaha hata moja pale. Kazi kweli miaka 50 ya uhuru
kero ipi ya kutatuliwa kwa zana za kivita?
Kama washauri wa JK ni akina Komba na Lukuvi unategemea nini?
Akili ndogo , akili ndogo.........
Uongozi dhaifu , uongozi dhaifu........
Ni matatizo makubwa sana kwenye nchi hii.
silaha zile ukitupa bomu moja linateketeza zote, vita ni mbinu sio silaha.alikuwa anamtisha kagame
Silaha zile tulizooneshwa ktk
sherehe za Muungano, zitaweza
kutatua kero za Muungano?
Nadhan zitaweza mkuu, maana hata yale ma mtu wanayaita makomandoo ni noma
silaha zile ukitupa bomu moja linateketeza zote, vita ni mbinu sio silaha.alikuwa anamtisha kagame
Silaha zile tulizooneshwa ktk
sherehe za Muungano, zitaweza
kutatua kero za Muungano?
Silaha zile tulizooneshwa ktk
sherehe za Muungano, zitaweza
kutatua kero za Muungano?
Shah wa Iran alizionyesha na akziingiza mitaani lakini mwisho wa siku alikimbia yeye.Wenye akili zetu tunajua lengo ni nini,kalagabaho!!!cha muhimu ni kuzionesha. Haijalishi siku. Ninyi ndo aina ya watu ambao hula pilau siku ya Idd na Christmas tu
Kwahiyo ushauri wa vilaza watupu akina msigwa std 7, sugu form ii, lema iv, mnyika vi, slaa udokta wa kudodosa biblia dhidi ya mwenyekiti kilaza a.k.a dj ndo wa maana? Ndo maana kutwa wako busy na mahawala.
Hoja nzito. Tungekuwa tunaonyesha zana tulizotengeneza wenyewe sawa, ila maonyesho yale hayana maanaKwa zama hizi ambazo mataifa makubwa yanatazamana kama majogoo yanayotaka kupigana sidhani kama kuna taifa linaloweza kutuuzia silaha ambazo ni zao la teknolojia yake mpya kabisa. Tunauziwa makapi halafu tunayafanyia maonesho, hakika tumeistaajabisha dunia. Hivi lengo lilikuwa ni nini hasa? muungano unadumishwa kwa siraha? Mbona tunafanya mambo bila kufikiri? Hoja sasa zinajibiwa kwa vioja. walituambia serikali tatu itapelekea jeshi kuasi, jana wakatuonyesha siraha zitakazo tumiwa na jeshi katika uasi huo, hovyo kabisa. Eti jeshi lipo fiti kulinda muungano, wapi uliona muungano unalindwa na jeshi? kama sio udikteta ni nini? Wekezeni kwenye elimu baada ya miaka 30 tuwe na vijana angalau wanaoweza kuunda siraha ili baada ya miaka 40 tufanye maonesho ya siraha zetu wenyewe hata kama ni low quality lakin ni zetu! na dunia nzima tutaiambia hivyo! Yes, ni zetu! Sisemi tusinunue siraha ila basi tuandae mazingira ya kuwa na vyetu.
Kwani hii ni mara ya kwanza nchi kuonyesha silaha wakati wa sherehe kubwa kama ile ya kumbukumbu ya muungano?
Kama kumbukumbu zako ziko vizuri,wakati tunasherehekea miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika,maonyesho kama yale ,yalionekana.Kwanini hukuoji wakati ule juu ya maonyesho.