mkuu huyo mwanafunzi wangu hapo juu hapaswi kupinga hyo kauli maana kaambiwa thibitisha na sio jadili , kujadili ndo unaweza pinga au kubali hapo ni kuonyesha kwa ninimtu anapaswa awe na afya bora kana wachangiaji walivyomshauri aonyeshe umuhimu wa afya bora