Oscar Wissa
Senior Member
- Sep 5, 2018
- 128
- 196
Naomba kujua hivi kwanini baadhi ya smartphones watengenezaji huamua kutoweka sehemu ya memory card na kutokuweka redio. Mfano baadhi ya Xiaomi, sina uhakika kama zote, na Iphones zote.
Storage ya inatosha kwa uwezo wa simu kwa kigezoNaomba kujua hivi kwanini baadhi ya smartphones watengenezaji huamua kutoweka sehemu ya memory card na kutokuweka redio. Mfano baadhi ya Xiaomi, sina uhakika kama zote, na Iphones zote.
Naomba kujua hivi kwanini baadhi ya smartphones watengenezaji huamua kutoweka sehemu ya memory card na kutokuweka redio. Mfano baadhi ya Xiaomi, sina uhakika kama zote, na Iphones zote.
Hapa ndipo unahitaji kununua kitu kulingana na mahitaji yako.Naomba kujua hivi kwanini baadhi ya smartphones watengenezaji huamua kutoweka sehemu ya memory card na kutokuweka redio. Mfano baadhi ya Xiaomi, sina uhakika kama zote, na Iphones zote.
MIKAKATI YA KIBIASHARA TU NADHANINaomba kujua hivi kwanini baadhi ya smartphones watengenezaji huamua kutoweka sehemu ya memory card na kutokuweka redio. Mfano baadhi ya Xiaomi, sina uhakika kama zote, na Iphones zote.