Swali langu ni

Swali langu ni

kitomondo1

Member
Joined
Oct 2, 2014
Posts
98
Reaction score
17
Kwa nini siku hizi msikitin au kanisan watu hawajai na hakuna kiingilio cha ajabu kwenyw madisco na sehem za stareh kuna kiingilio lakin wanajaa hadi hapatoshi
 
Kanisa gani hilo mkuu ambalo watu hawajai?
 
Ya kaisari MPE kaisari ya Mungu mwachie Mungu, lakini utafiti wako una kasoro kidogo

Nyumba za ibada zinajaza kuliko huko kwenye sehemu za starehe unakozungumzia kwa mfano ukiwachukua wasabato wote wanaosali siku ya jumamosi ukawaweka mahali pamoja, au waislam wote wanaoswali ijumaa ukawaweka pamoja au wakristo wote wanaosali Jumapili ukawaweka pamoja uwiano wao utakuwa mkubwa sana zaidi ya watu wote watakaokwenda kwenye starehe kwa siku moja
 
Pia elewa kuwa nyumba za ibada zimekuwa nyingi hivyo watu wanatawanyika tofauti na zamani ambapo unakuta mitaa mitatu au mitano inategemea nyumba moja ya ibada
 
Labda nyumba za Ibada ni kubwa kuliko nyumba za starehe.
 
Unazungumzia ibada ya ngapi katika siku husika?
 
Back
Top Bottom