mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,588
- 11,668
Swali langu la papo kwa papo kwa Mh. Rais Magufuli.
1 (a) Mh. Rais; Ikiwa unakubaliana na kuwataja watuhumiwa wa biashara ya dawa za kulevya hadharani, na ikiwa jeshi la polisi lilikabidhi ikulu orodha ya watu hao mwaka 2008 , je! Uko tayari kutumia orodha hiyo kuwataja watu hao?
(b) Kitendo cha kukubaliana na njia anayotumia Mh. Makonda ya kuwataja hadharani lakini wewe usiweke hadharani orodha ambayo ipo ikulu, je! ni kiashiria cha kuwaogopa watu hao na kumshakizia Mh. Makonda?
(c). Kama Orodha hiyo haipo, Je! Unataka kutuambia kuwa Rais aliyepita aliondoka nayo au kuichoma moto?
NB. Sihitaji majibu, nahitaji Tafakuri! Tutafakati wote kama Taifa. Halafu tuone njia tuliojiamulia kuifuata kama itatufikisha popote.