thebosskissima
Member
- May 22, 2017
- 65
- 299
Una miaka mingapi?
Leo tarehe 13 Shule zimefungwa eeh?
Shemeji mpaka Leo hujui shule zimefungwa au zimefunguliwa una malezi gani sasaUna miaka mingapi?
Leo tarehe 13 Shule zimefungwa eeh?
Hapo unataka tukushauri nn sasa?Ungefanyaje? We upo home unaish na wazazi na dada yako sasa dem wako anakwambia bwana nataka nije kwenu alaf ukichek home msala kwa wazaz sasa unampanga dada ako kwamba awadanganye wazaz kama atakuja rafik yake (dem wako) atakaa home kwenu kama wiki 1.
Kwel dem anakuja alafu nyt anakuja kulala chumban kwako bila wazaz kujua mpaka wiki inaisha anaondoka hom wakijua rafik wa dada ako sasa baada ya siku mbili dadaako nae anakwambia ana bwana ake anataka kuja nawe ujifanye rafiki yako alaf usiku kama kawa anaingia geto kwa sista!
Ungekubali?
kwa nini ninyi watu wapole ni jeuri sana?Upuuzi
Ngoja nimuulize mtu mpole akinijibu nitakupa jibukwa nini ninyi watu wapole ni jeuri sana?
Jicho la Taifa kwenye avatar!πππNgoja nimuulize mtu mpole akinijibu nitakupa jibu
π Unatafuta kudundwa leoJicho la Taifa kwenye avatar!πππ
π€£π€£π€£π Unatafuta kudundwa leo