Inakuwaje Wanaume wanaweza kuwa na urafiki na Wanaume wenzao bila umbea wala ku discuss ndoa zao na wake zao na umbea wa ndani ya nyumba lakini wanawake sisi kutwaaa ushoga wa kundi la watu ,huwezi kwenda sherehe mpaka mashoga Kum discuss mumewe kwa marafiki au kundi la marafiki.siri ya Wanaume nini inayowafanya hawagombani na marafiki zao wala Hawa discuss ya chumbani