idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,282
- 38,359
Akiongea na vyombo vya habari jana Mh. Makonda amenukuliwa akisema hayupo tayari kufanya kazi na Mkurugenzi wa Jiji Wilson Kabwe na msaidizi wake ....
Je kwa kauli hiyo Mamlaka za juu zisipotimiza matakwa yake yupo tayari kujiuzulu.?
Na je ni sahihi RC kuiagiza Mamlaka yake kwa kauli mkato ....kwamba sipo tayari kufanya nao kazi.... Je Mkuu wake akigoma kukubali matakwa yake atafanya nini.?
NB . Magufuli punguza kumsifia huyu mheshimiwa anaelekea kujisahau.......!