Ingawa ushindani ni muhimu lakini swala la huduma mbovu imekuwa utamaduni. Mbona hata Rwanda air haina ushindani lakini service ni first class? Hii nchi huduma kwa mashirika ya umma ni tatizo zito.
Pia mijadala kama hii tuwe objective badala ya kujadili kishabiki sababu humpendi JPM, hivi huduma mbovu inaingiliana vipi na JPM? unapiga siasa hapa kesho ukipata huduma mbovu unamlalamikia tena JPM?
Sent using
Jamii Forums mobile app