Swali la Ugomvi: Injinia Kamwelwe mnataka Rais Magufuli awabebeje ATCL?

Ingawa ushindani ni muhimu lakini swala la huduma mbovu imekuwa utamaduni. Mbona hata Rwanda air haina ushindani lakini service ni first class? Hii nchi huduma kwa mashirika ya umma ni tatizo zito.

Pia mijadala kama hii tuwe objective badala ya kujadili kishabiki sababu humpendi JPM, hivi huduma mbovu inaingiliana vipi na JPM? unapiga siasa hapa kesho ukipata huduma mbovu unamlalamikia tena JPM?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui kuwa jiwe anajifanya mjuaji kwa kila kitu, kwenye ishu ya ATCL jiwe unamtoaje hapo???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom