Swali la uchokozi

visagold

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
327
Reaction score
177
Habari zenu wakuu

Kwa wamama na wadada na wanaume, hapa nina swali eti ukiwa unaendesha gari ni yupi bora kuwa nae pembeni kati ya mpenzi ama mafrend?
1. Hapa namaanisha nani anakuamini ukiwa kwenye msterling?
2. Nani hatakusumbua kwa maswali ya kero kama nani huyu kwenye simu?
3. Nani atakufanya uwe makini zaidi kati ya mafrend au mpenzi?

 
Apo nimeandika hivyo makusudi ili mconcentrate kusoma sio mnapita pita.
 
Za kazi wakuu? nauliza njia ya kwenda kwenye thread zenye akili?
 
Mleta Uzi unafahamu kwamba bange zinaharibu akili:what:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…