Stimavoltage
Member
- Oct 18, 2018
- 16
- 8
Duh Tanzania ya viwanda ndio hii, muulize swali ni kiwanda kidogo
Me nauliza tu dingiWewe unataka shilingi ngapi?
Unajua maana ya dingi?Me nauliza tu dingi
Kijana umeshajua kwanza umepata mkopo kiasi gani?Ningependa kufahamu juu ya zile asilimia za mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu je!? Kila asilimia moja huwa inakuwa na thamani ya shilingi ngapi!?
msaada wenu wakuu wangu ππππππ
Dume la nyani ila sina maana hiyoUnajua maana ya dingi?
Shukran sana mkuumara nyingi asilimia za mkopo wa heslb huwa zinaathiri sana tuition fees na ila pesa ya kujikimu na field inakuwa sawaa kwa wote as long as umepata mkopo pia pesa ya special faculty kama utakuwa umepewa maana si wote hupewa hii..haya kwa mfano ada ya chuoni kwako ni 1,500,000 tsh kwa mwaka....sasa kwa mfano wew kijana umepata asilimia 2% ya mkopo it means ( 2/100)*1,500,000=30,000 maana yake wew katka ada ya mil 1.5 umelipiwa elfu 30 tu..wakat huo kila semester umelipiwa tsh 15,000...usiombe yakukute.
ππππππππππKijana umeshajua kwanza umepata mkopo kiasi gani?
Subiri allocation yako ya mkopo itoke ndo utaweza kupata jibu LA swali lako Ila ujue kuwa zama hizi kupata mkopo 100% ni Kama bahati nasibu so omba mungu kuna watu wanalipiwa adaa sh. 5000 kwenye milioni