Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
Asa kwanini moyo wako umegoma kuudondokea wangu??
hahahahaha babu tatizo we ni zaidi ya tuko wangapi
Asa kwanini moyo wako umegoma kuudondokea wangu??
Ha ha ha ha mie nimempenda baadae sana afu sasa hivi nampenda sana sijui kanipa nini nashindwa kuelewa jamani. Ila mwanzoni nilikuwa kama najilazimisha vile.
hahahahaha babu tatizo we ni zaidi ya tuko wangapi
very sureAre u sure!