Swali la leo?

Swali la leo?

kolelela

Senior Member
Joined
Sep 2, 2013
Posts
173
Reaction score
33
Hivi kitugani kiweza kuwa kikwazo kwako usimoe au kuolewa na fulani
 
Asiwe anachomekea mayeno, a.k.a high waist
 
Daa hiki kitu kimenigusa sn,kuna demu nimedumu naye miaka 4,ss nataka fanya process awe ndani but naona ANAPENDA KUNITAWALA NA KUNIFOKEA,pia ANAJIAMINI kupita maelezo.

Natafakari,sijui kama tutafikia coz nami najijua jinsi nilivyo.
 
Hata Mimi sipendi mwanamke talkative
 
Mwanamke mwenye maneno machafu(matusi) nikimskia tu baas, mwili unakufa ganzi.

mdada anayependa kunipandia mabegani, staki kabisaa

aliyenizidi kimo ( inferiority complex) sidhani Kama naweza oa..
 
Back
Top Bottom