Matunda ya miaka hamsin ni matunda gani hayo embe boribo au, matango pori! Kimsing matunda nI
Ni usemi tu kama unavyoweza kusema nyumba nzuri niliyojenga ni matunda ya. Kazi ninayo famya. LKin nyumba siyo matunda kama ma pera au machungwa siku moja ukatengeneza juice. Na badala yake huo mfano wa matunda hauna maana zaid ya kufanya commed tu watu wamafueahi.