KARIA JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 717 Reaction score 473 Mar 1, 2013 #1 Tarehe 1 April unarudi nyumbani na unamkuta rafiki yako yuko na mpenzi wako kitandani wamekumbatia uchi, walipokuona mpenzi wako anakumbia honey ni siku ya wajinga duniani,tulikuwa tunakutania tu! Je utafanyaje?
Tarehe 1 April unarudi nyumbani na unamkuta rafiki yako yuko na mpenzi wako kitandani wamekumbatia uchi, walipokuona mpenzi wako anakumbia honey ni siku ya wajinga duniani,tulikuwa tunakutania tu! Je utafanyaje?
B Bibigula Senior Member Joined Jul 15, 2012 Posts 141 Reaction score 27 Mar 1, 2013 #2 Nawafungisha ndoa
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Mar 1, 2013 #3 hahahaaaaa!!!!!!
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Mar 1, 2013 #4 khaa... utani au ujinga gani huo ?