Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,706
- 149,942
Kwanini kila mara Makonda anaanzisha jambo alafu mh.sana anakuja kumuunga mkono hadharani?
Maswali ya ziada:
1. Je,ni coincidence tu?
2. Yeye huwa anashindwa nini kuyaanzisha mambo haya?
3. Alafu kama ni kweli wako seriuos,mbona yote haya huwa ni nguvu ya soda tu?
4. Lini wamewahi kutoa feedback kabla hawajaanzisha jambo lingine?
Ufanisi wa mtu wa kazi au utendaji wake hupimwa kwa kuangalia matokea (feedback). Sasa kama hatupwei hiyo feedback au hatuoni matokeo,mtu huyu tutampaje marks au tutampa marks kwa kuanzisha mlolongo wa matukio tu?
Je,hii si siasa tu?