Anthony Threedeyea
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 471
- 47
ikiwa kama panya mkubwa anaitwa panya buku,panya mdogo ataitwa nani?
ataitwa panya daftali .......
Kipanya !! ...Afu wadada huwa wanaogopa panya sana, Kwanini?????ikiwa kama panya mkubwa anaitwa panya buku,panya mdogo ataitwa nani?
Panya jero