Swali la kizushi!

Haaa haaa before promising anything to a woman......request her to wash her face and see the originality!

Ndio maana mnashauriwa kutoangalia sura kwenye harusi au sikukuu, au kwenye mitoko!
 
we guys can't be like you gals. y'all are supposed to look sharp 24/7. to me if you look a hot steaming mess even once, i dump you. have you ever been dumped?[/QUOTE]
You must be fake Julius.
 
Kui, dear afadhali umewaambia ukweli ingawa ni kizushi zushi lakini ina ukweli ndani yake jamani ama sio? Yaani hata mimi nilikuwa najiuliza siku zoote hizo kweli yaani wanatuonea hawa, mi namjua mmoja niliwahi kumuona ametoka kuamka yaani utadhani kaibiwa milioni moja na kibaka kariakoo, kisha akashindwa kumpata!
 
Reactions: kui
 
Ukitaka kuona uzuri wa mwanamke mvizie anapo amuka ukiona hana matongo tongo machoni huyo sio mzuri ukiona hana udenda kwenye shavu huyo mbaya bana.
 
Ukitaka kuona uzuri wa mwanamke mvizie anapo amuka ukiona hana matongo tongo machoni huyo sio mzuri ukiona hana udenda kwenye shavu huyo mbaya bana.

shem una visa wewe!!!
 
Well, you guys need to look the same too, sio mnaachia vitambi visivo na mbele wala nyuma, sometimes you can't even tell what's the behind and what's the front.

Ha ha ha!mmh sijui Boss hapa atasemaje,umemgusa...Kitambi kikubwaaaaaaaaaa.
 

watu tupo tofauti..
mimi napenda natural beauty..
napenda zaidi mwanamke anapokuwa
ametoka kuoga,bila ma make ups yoyote....
i usually enjoy women after having a shower pamoja.
 
Haaa haaa before promising anything to a woman......request her to wash her face and see the originality!

...πŸ˜€ exactly!
unakutana na mtu kajikandika 'mapochopocho' usoni utadhani mdoli,

-nywele feki
-nyusi feki
-macho feki
-rangi ya uso feki
-rangi ya mdomo feki
-beauty-spot feki

No wonder kwenye udugu wa shuka anaendeleza 'usanii' vile vile!
 

Du nyie wanaume wa ajabu sana mkimuona mdada hajafanya yote hayo hata hamumuangalii iweje leo ,mambo ya uzuri wa foundation kila sekita
 
watu tupo tofauti..
mimi napenda natural beauty..
napenda zaidi mwanamke anapokuwa
ametoka kuoga,bila ma make ups yoyote....
i usually enjoy women after having a shower pamoja.

Hayo ni ya kweli?
 
ahh wakati mwingine unadhani watu wanafikiri kikwelikweli wakati mwingine unasema wanatumia ubongo lala wakati mwingine wanachemka. kama amelala akaamka halafu anakuwa kama anakwenda out huyo lazima awe mchawi alikuwa anakuwangia ndio maana yuko sharp yuko bomba au jambazi au kikwekwe cha aina fulani adhawaizi ukitoka usingizini lazima uwe umetulia na una nishati mpya na lazima usdshake kidogo kupata utaratibu mpya wa siku hiyo.umetoka kupumzika bwana hukutoka kufanyakazi. Mwili laizma upumzike na ukipumzika wakati wa kurudi unarudi taratibu kama ulivyopumzika taratibu.;Anayekutaka hatazami makonzi anatazama matunda ya kuwa nawe ubavuni ha 😱ha ha haha ha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…