enfuka nkulu
Member
- Dec 4, 2012
- 48
- 4
dawa ikiekspai inakuwa sumu. je, sumu ikiekspai inakuwa nini?
Rahisi sana hio Bhana Fakhi,
hio inakuwa Cocaine hio bhana....nzuri sana ati hio ndio maana hata
ukikamatwa nayo haichomwi kama Bangi, huwa Sirikali inaihifadhi kwa
matumisi ya baadae, iko na jingine weye??:flock: